Recent content by YuleBoy2024

  1. Y

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    Mzee depression yako sio ya kiwango cha nchi hii tafuta msaada. Mi siombi likes kama wewe unavyopambana nazo mitandaoni. Na kwa taarifa yako tu nina kiwanda tayari na nina mpango wa kuongeza kingine mwezi ujao kitaanza operation. Na kama huna kazi nita tangaza nafasi za ajira naweza kukuajiri...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    hints nzuri, asante sana
  3. Y

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    duh......kwako hizi ni show- off? kajifunze maana ya show-off uje tena ujibu
  4. Y

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    Usiogope mambo yanazungumzika,yangu haizidi 12mil kwa mwaka
  6. Y

    JamiiForums Tanzania MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    Hii ni Frame au ? mnapigwa sana yangu hata 10mil haifiki na ni kubwa
  7. Y

    JamiiForums Tanzania MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    wa kwanza hawakuuachia kabisa hawa jamaa
  8. Y

    JamiiForums Tanzania MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    walibana wameachia buanaa
  9. Y

    JamiiForums Tanzania MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    sikimbii bwasheee nimepata sehemu nyingine
  10. Y

    JamiiForums Tanzania MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    Wakuu napangisha frame yangu kariakoo iko mtaa wa Masasi jirani na hii barabara kuu ya Msimbazi na jirani na kituo cha mwendokasi cha Msimbazi.Inafaa kwa Simu, Vifaa vya Simu au Ufundi wa Simu. Kama utahitaji tuonane inbox.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania MICHAPIO......MCHAPIO GANI UMEWAHI KUCHAPIA UKIKUMBUKA UNACHEKA MWENYEWE?

    mambo ya kujifunza mbuni mpya badala ya mbinu mpya
  12. Y

    JamiiForums Tanzania MICHAPIO......MCHAPIO GANI UMEWAHI KUCHAPIA UKIKUMBUKA UNACHEKA MWENYEWE?

    bado niliweka uzi wa " Kupangisha frame yangu ya Kariakoo bana" mpaka leo hawajauachia wala nini
Back
Top Bottom