Recent content by Yule girl

  1. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    kuna watu walinipigia walisema ilikua inaita ila baad ya saa 1 mbele ikawa haitii tena it means ilizimwa
  2. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Nataman ni deal huyu mwiz ata nisipopata simu I need evidence zote za kuwa yeye ndo mwiz hivo tu nijue
  3. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    ndio
  4. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    hapana
  5. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    nataka kujua tu ilipo maan imepotea ndani kulikua kuna watu ila wanakataa the thing I want niwa show hata kwa location kwamb simu kuna mtu kati yenu amechukua ni hivo tu kisha nita deal now natak evidence tu maan wanajifany wananisaidia kutafuta kinafiki
  6. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Tecno Camon 16
  7. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
  8. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkufunzi wa kunifundisha kutengeza sabuni za maji

    weka yako nitakuchek
  9. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkufunzi wa kunifundisha kutengeza sabuni za maji

    Habarini, Samahihi natafuta mtu binafsi wa kunifundisha kutengeneza sabuni za maji aina zote Shampoo's na vitu kama hivyo Gharama za ukufunzi tutaelewa.
  10. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya Marashi

    asanteee
  11. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya Marashi

    saw saw Tajiri
Back
Top Bottom