Recent content by yu KIMARO

  1. yu KIMARO

    JamiiForums Tanzania COVID-19 ni ushahidi kuwa Madaktari na Manesi ni kada zinazostahili kulipwa vizuri sana na pengine kuliko kada zingine zote

    Upo sawa kabisa kua ni kada muhimu sana japo kila kada ina umuhimu wake mahali pake ila kwa wenzetu ndo naona wapo tayari kufanya lolote yani wamejitoa kila kitu, ukija Tanzania ukiwaangalia wataalamu wetu hawana utu hata kidogo...... nina mfano hai kabisa nikiwa naumwa mama mmoja kapeleka mtoto...
  2. yu KIMARO

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kilwa watakiwa kutozomea watalii na kuwaita Corona

    Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Christopher Ngubiagai amekemea vikali na kuahidi kuwachulia hatua kali, baadhi ya wananchi wa wilaya hiyo kwa kuwazomea watalii wa kizungu na kuwaita majina ya corona baada ya watalii hao kutembelea wilaya hiyo. Ngubiagai ameyasema hayo alipokuwa akitoa...
  3. yu KIMARO

    JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

    Wangezuia tu ndege kuingia nchini jamani maana uwezo wetu wa kupambana na huu ugonjwa somehow ni mdogo na hata katika mipaka yetu tuzuie jamani.... sasa kama watu wamefika sita tutategemea nini... hata kama tuna mahusiano mazuri kiasi gani ila afya kwanza ... daaaah
  4. yu KIMARO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man killed for having sex with mother

    beth, leloic, Ndo tulipofikia sasa hivi daah laana gani hizi
Back
Top Bottom