Recent content by youzam

  1. youzam

    Namna ya kubadili wafuasi (followers) wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa wateja

    Mitandao ya kijamii ni muhimu sana katika kukuza biashara mbalimbali. Kuna njia nyingi za kufanya promosheni ya bidhaa au huduma zako, na miongoni mwa hizo ni matangazo ya kulipia. Lakini unaweza pia kupata wateja wengi kama ukitambua ni namna gani ubadili wafuasi (followers) wako kuwa wateja...
  2. youzam

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    When you talk about business, you must offer either a service of a product with monetary exchange for modern businesses. Na ili kile unachokiuza kinunuliwe, lazima kihitajike na kundi fulani la watu, ndiyo maana nikamshahuri rafiki yangu kuwa si lazima atafute biashara ya kuuza bidhaa, anaweza...
  3. youzam

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    Okay. Kwa Program yako naamini unaweza kuwa Business Analyst, budget or research analyst. Kwa sasa kuna wafanya biashara wengi tu wanahitaji watu wanaoweza kuwasaidia biashara zao ziende vzuri. Nashahuri jaribu kuangalia ni wapi watu wana changamoto za biashara za namna ya kuandaa budgets au...
  4. youzam

    Fursa ya biashara kwa mtu mwenye pesa na hajui awekeze wapi

    Ni kiasi gani na yeye ana wazo gani?
  5. youzam

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    Ulisomea nini ukiwa chuo? Au wewe una uzoefu au kipaji gani?
  6. youzam

    Nani adui wa vijana katika Kujiajiri. Ni Uthubutu, Serikali, au Malezi na Mazingira?

    Hapana mimi si mhanga wa ajira. Nimeajiriwa na Serikali lakini pia nimejiajiri mwenyewe hvyo nina uzoefu mkubwa wa kuweza kushahuri vijana maana mimi ni Business Coach
  7. youzam

    Naombeni Mchongo, Biashara au Part-time ya kupata 15k-30k kwa siku

    Ushahuri wangu ni kwamba, ili upate hiyo 15k na zaidi kwa muda mfupi, 1. Tambua elimu yako au ujuzi gani ulionao 2. Baada ya hapo, tafuta kujua ni changamoto gani jamii inakumbana nazo ambazo zinaweza kutatuliwa kwa elimu au ujuzi ulionao 3. Anza kutatua changamoto hizo pesa zitakuja zenyewe kwa...
  8. youzam

    Nani adui wa vijana katika Kujiajiri. Ni Uthubutu, Serikali, au Malezi na Mazingira?

    Ni kweli kabisa. Ila uhakika wa kuuza unakuja pale mtu anapoanzisha biashara bila kujua kama watu wanauhitaji wa bidhaa zake au huduma yake. Ila kama mtu akiuza bidhaa au huduma ambazo watu wako tayari kununua hawezi kosa wateja.
  9. youzam

    Nani adui wa vijana katika Kujiajiri. Ni Uthubutu, Serikali, au Malezi na Mazingira?

    SABABU KUBWA NI MINDSET Asilimia kubwa ya vijana mfano hapa Tanzania tunaishi chini ya utamaduni na mfumo wa maisha unaofanana kwa wengi. Kutokana na hali hii, wazazi/walezi wanaandaa vijana kusoma ili wapate kazi nzuri kwa kuajiriwa. Hvyo kijana anaanza kusoma akilenga kuajiriwa sehemu fulani...
Back
Top Bottom