Recent content by Your favourate

  1. Your favourate

    Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

    Kuambiwa hupendwi hukuambiwa ts okay......hata kuona hupendwi hukuona try glass this time
  2. Your favourate

    Naomba kujua namna ya kufanya analysis za Forex

    Hahahha nimeipenda ety sio kuweza kutrade profitably saaa itakuaje na mm n hyo nataka ...jokes By the way shukran acha nikajisomee then nitakurudia najua tyu jiandae kwa usumbufu😀
  3. Your favourate

    Naomba kujua namna ya kufanya analysis za Forex

    Habarini za saa hizi wadau. Mimi ni mgeni kwenye swala la forex sasa katika kujifunza nimeona kitu muhimu n kujua market structure (analysis) ambayo itaniwezesha kujua soko linatarajia kufanya nin kwa wakati sahihi. Hivyo basi ni ombi langu kwa wadau wa forex kuhusu maelekezo either nitumie...
  4. Your favourate

    Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

    Nimefanikiwa kudownload app lakin maelekezo ya jinsi ya kununua bidhaa na nin kinafanyika mpaka isafirishwe na silent ocean nmeshindwa msaada tafadhali
  5. Your favourate

    Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

    Nakuunga mkono mkuu saccos zipo vizur
  6. Your favourate

    Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

    Naomba maelekezo jinsi ya kuagiza mwenyewe kama inawezekana rafiki
Back
Top Bottom