NTSC ni mfumo wa uonyeshaji kwenye screen ambao unatumia ratio ya 16:4 kama sijakosea.
Pal ni mfumo unaotumia 4:3.
Sasa uliyonunuliwa wewe ni kama video nyingi za wasanii wa siku hizi juu na chini ya screen kunakuwa giza video inakuwa katikati tu. Sasa ukiwa unaangalia kama TAARIFA za hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.