Recent content by youngashley

  1. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kitu hata kwangu haionyeshi kutoa kwa mfumo wa namba sijui kwanini Sent using Jamii Forums mobile app
  2. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh [emoji849][emoji849][emoji849]
  3. youngashley

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomb kupata ya vivo Y16 mkuu
  4. youngashley

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba ya redmi 9A pls kama ipo
  5. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani tumekua kama watoto wadogo ,hasira za nini ,cord inapotumwa hapa kazi yako nikupembua nakutengeneza odds unazozitaka unaweka pesa yako ,ukiona zipo cord zilizokuridhisha bila kupembua weka na na zikiwini shukuru zikifeli shukuru pia maana huu mchezo hakuna mwenye uhakika wakusema lazima...
  6. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Afadhali hata kadroo ila hizi timu za misri hizi tiamajitiamaji
  7. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zamaleki ni ihefu aliyechangamka
  8. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Afu sijui nikwanini huwa wanaficha sana mikeka mingi inayoelekea kutoboa
  9. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi timu nyingine ni ihefu aliyechangamka
  10. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu stake [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
  11. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ungeigawa mara mbili ungeshaitoa
  12. youngashley

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukiwithdraw pesa inaonekana mdaa huohuo,na kiwango cha kutoa nikuanzia 500 kuendelea mkuu
Back
Top Bottom