Recent content by young_traveller

  1. young_traveller

    Biashara ya kuchezesha pool table inalipa?

    Habari brothers and sisters. On my side napatikana Morogoro sana, naomba kuulizia mtu anayetengeneza pooltable au anayejua wapi zinauzwa ikiwemo bei yake na ubora pia tuwasiliane tafadhali.
  2. young_traveller

    Idea ya biashara mkoa wa mwanza

    Mmh kwa makadilio kama 1m ivi
  3. young_traveller

    Idea ya biashara mkoa wa mwanza

    Habari wana jf. Natumai mu wazima na mnaendelea vyema katika ujenzi wa taifa.Binafsi ninafatilia san thread znazofanyika na kwa mtzamao wangu kati ya yote ayo idea ya biashara ndo imekuwa kikwazo kikubwa sana. Kutokana na elimu yangu nlionayo na bado ni mwanafunzi wa chuo katika ngazi za uchumi...
  4. young_traveller

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Naamini miongoni mwa watu wanaotumia pesa saloon ni kina dada sasa naona nimuda wangu wakujua mtaji wa kuanzisha saloon na vitu vinavyoitajika katika kufungua saloon kubwa ya kinadada.NAOMBENI UJUZI TAFADHARI WANA JF
  5. young_traveller

    Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Kuna sehemu nimeona kwamb dhahabu dodoma ni 70000 je kuna ukweli apo boss
  6. young_traveller

    Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

    Mi pia nko tayar kuwa miongoni mwa wanafunzi mia hao so organizer apatikane tupate madini ayoo
  7. young_traveller

    Anaejua ukweli kuhusu jmoney.site

    Mzee baba sio rahisi kulipwa wakati amna kazi yeyote uliyowafanyia
Back
Top Bottom