Recent content by young-sha96

  1. Y

    Serikali itaacha lini siasa kwenye mambo yanayohitaji ukweli!

    Napenda kuuliza ivi lini serikali yetu itaachana na siasa kwenye mambo yanayohitaji ukweli: Mfano mwanzoni wa mwaka huu Serikali ilitangaza ajira na bungeni wakasema kibari kutoka Rais kimepatikn cha ajabu sasa ni muda sana toka tamko litolewe: je lini watafungua dirisha la maombi au hii hoja...
  2. Y

    SoC04 Tanzania tajiri itumie rasilimali zilizopo kuboresha uchumi

    Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya thamani Katika miaka mitano ya mabadiliko Tanzania naipata jina Tanzania tajiri ambayo itapambania na...
  3. Y

    SoC04 Ni muda wa Tanzania kupitisha sheria kuwa uzalendo liwe somo rasmi

    Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda, kuithamini na kupambania nchi yake.natamani miaka mitano na kuendelea tuzalishe jamii ya uzalendo wa kweli na kuithamini nchi yetu. Mapendezekezo yangu bunge litunge sheria kwa kila mgombea awe anaenda kula kiapo jimbo kwake mbele ya wananchi kwa mkataba wa...
Back
Top Bottom