Recent content by young finding peace

  1. Y

    JamiiForums Nahitaji msaada wa ufadhili wa masomo

    Naomba msaada kwa atakae wiwa kunisaidia mama angu Hana uwezo wakunisomesha
  2. Y

    JamiiForums Nahitaji msaada wa ufadhili wa masomo

    Chuo cha Kimataifa cha kampala ..nime pungukiwa 1,6000,000
  3. Y

    JamiiForums Nahitaji msaada wa ufadhili wa masomo

    nipo kampala university,.. Bachelor of pharmacy Ada 3800000 kwa mwaka,, nimepungukiwa 1,600,000
  4. Y

    JamiiForums Nahitaji msaada wa ufadhili wa masomo

    HESLB, nli apply nikapata boom Tu, ndo Hilo nmelipia semista ya Kwanza, hii ya pili imekuwa changamoto.
  5. Y

    JamiiForums Nahitaji msaada wa ufadhili wa masomo

    Habari, Poleni na majukumu, ni mwanafunzi wa Bachelor of pharmacy mwaka wa Kwanza. Ninashindwa kulipa Ada yote chuoni Ninaomba alie na uwezo japo kidogo anisaidie, ninaishi na mama Tu na Hana uwezo WA kunisomesha NAOMBA msaada wako. Semester 1 nimepata G.P.A ya 3.5 , naamini nitafanya vizuri...
Back
Top Bottom