Hellow wana JF,
Nimeanzisha uzi huu ni kwamba mwanzo nilikuwa Naagiza bidhaa china kwa kutumia Aliexpress tangu 2018 lakini ilipofika mwaka huu mwanzoni oda zangu zilikuwa zinachelewa sana kufika lakini ilipofika mwezi wa tano oda nilizoagiza kipindi hicho mpaka eo sijapata hata mmoja sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.