jamani,hvi ili hoja kutolewa na kusikika bila matusi ilikwisha shindikana??na hasa watu wanapodiscuss uchadema na uccm humu ndani,kwa bahati mbaya wengi wa watu wanaopost humu ndani ni either viongozi au wana ndoto za kuongoza kwenye ngazi tofauti kwa madai ya kua vijana na kuleta fikra mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.