Recent content by YoThomas

  1. Y

    Ndege zetu za ATCL zinavyopendezesha Uwanja wa ndege JNIA

    Zinapendezesha Ni Mapambo hayo?Talk about business brother!
  2. Y

    MAKONDA: Sitta aliniozesha na kunisomesha, aliniombea kila siku

    Kwahyo vijana woote wenye nyadhifa Serikalini lazima awe ameshikwa mkono na hawa wazee sio?
  3. Y

    Ole sendeka na UVCCM tunawasubiri mjibu tuhuma za wabunge wa CCM kuhongwa miliioni 10

    Hivi kweli kwa uelewa Wako unaamini Takukuru wanaweza ichunguza Ccm?
  4. Y

    Tathmini ya Mahojiano na Rais Magufuli: Pascal Mayalla aongea Star TV

    Anaonyesha wazi wazi Ni msikilizaji WA Mawingu fm,sijui ndio station ya Taifa?Naamini hajui Kuna TBC!
  5. Y

    Tathmini ya Mahojiano na Rais Magufuli: Pascal Mayalla aongea Star TV

    Niliona tatizo kubwa Ni kutokua na terms of reference/ mtiririko ulioandaliwa kabla !Mfano:Maswali yahusuyo katiba,maswali ya kielimu,Kiviwanda na n.k!Pia mkuu alikuwa anakimbia maswali na kuanza maelezo yake ya kikampeni!
  6. Y

    Kuvuja Kwa Rushwa ya Wabunge Sababu ni Mgawo

    Nimeamini Ni jambo la kweli kwa jinsi Rais alivyojibu.Navyomjua JPM angepanic Sana kwa hasira na kutoa kauli za kutosha waliohusika,ILA mzee kalijibu ki Ccm na kuashiria Ni kitu anachokijua.
  7. Y

    Maalim Seif amvaa IGP

    Hii nchi Ina mambo!
  8. Y

    Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    Wasimwache hivihivi aisee...wamfungulie mashtaka !ya uhaini na uvamizi.
  9. Y

    Mrema ampongeza Prof. Lipumba, Jaji Mutungi. Amtembelea Lipumba katika ofisi za CUF Buguruni

    TLP imekufa..anataka kuuwa na CUF?hivi mtu aliyesaliti wafuasi wake kama Mrema,kwa nchi za wenzetu si hatunae huyu?
  10. Y

    Wabunge wa upinzani wamhofia Dr. Magufuli

    Yani unataka majimbo ya mijini ambayo Ni angalau?Kuna majimbo ya vijijini huko watu hawajui wale nini,walimu hakuna,hawana maji safi ya bwawa achilia mbali bomba,Hospital hakuna achilia mbali Madocta na Dawa.PIA mbunge Ni msemaji WA na mwakilishi WA wananchi,nadhani huko ulikotaja..ungesema...
  11. Y

    Sifa kuu unazotakiwa kuwa nazo ili uteuliwe na Rais Magufuli kushika wadhifa wowote

    Umesahau Mbili-(i)Uwe CCM na usiwe wa Kaskazini.
Back
Top Bottom