Recent content by Yoshiii

  1. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Dah!! Huyu Bertha kweli ni mwanaukome...anatisha sanaaa
  2. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Good decision man...kusonga mbele ni muhimu zaidi kuliko kuendelea kumlilia MIMI ambaye ameshaonesha msimamo wake
  3. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Pongezi kwa shadya maana taarifa za mahusiano ya JC na MIMI itafika kwa ndugu zake wote kwa negatively way,na hapo ndipo utamu wa simulizi utazidi kunoga😅😅😅
  4. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Sikutarajia kama Jasmine angempokea vizur MIMI namna hiyo hakika Kila mtu na mtuye
  5. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    🤭🤭🤭🤭
  6. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Mwamba hataki kulaza damu,kweli MIMI ameuteka moyo wa JC sio kwa speed hiyo mpaka anampeleka ukweni
  7. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    🤫🤫🤫🤫🤫
  8. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Woooh!!!!! Kazi nzuri mwamba kwa kumpa kipendacho roho
  9. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Kazi ndo kwanza inaanza, JC kuwa makini ila tu usije ukamua huyo black mamba maana utajiongezea uhatari kwa watu wanaokuzunguka na wewe mwenyew
  10. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    🤪🤪🤪🤪
  11. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Safi sana JC kwa kuweza kuzishinda hisia zako kwa Mamu,ungenihuzunisha sana kama ungefanya naye tendo
  12. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Hahahaha hicho nacho ni kipengele mwamba hadi Mamu amedata na wewe,kazi unayo JC
  13. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    😂😂😂😂 penzi halina hata siku 3 tiyari challenges zmeanza
  14. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Ni muda sasa wa JC kutamba kabla ya mzee wa "take care" hajarudi kutoka vacation
  15. Y

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Ni kweli mwamba atufikirie katika hilo
Back
Top Bottom