Recent content by YONISM

  1. Y

    Mchungaji Msigwa kizimbani, asomewa mashtaka

    Hizo ni kesi za kisiasa na huisha juujuu tu. Lengo ni kupotezeana muda na kuacha kujadili mambo ya msingi.
  2. Y

    Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Ni uonevu tu. Naomba niambiwe kwan kavunja kanuni gani za nchi?
  3. Y

    Timu ya kampeni ya CCM kizungumkuti, wajumbe wasusa kiaina

    Mwaka huu kila wanachopanga ukawa wanacho, kila wakiongea ukawa wanajibu kwa hoja za msingi, kila wakidanganya ukawa wanawaumbua. Imebaki kuwachinja tu octoba iishe habari yao. Wananchi sasa hivi tumeshachora mstari wa uvumilivu na kuweka pamba masikioni mpaka october bila kusikia...
  4. Y

    Mnyika ni mbunge tayari

    Waendelee kumsuka twende kilioni mana mwaka huu hakuna kukanyaga bungeni kirahisi rahisi.
  5. Y

    Lowassa: Damu yangu inachemka

    Nahitaji mabadiliko
  6. Y

    GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Duuuh! Ila kwa hili waliloamua wana chato ni hali ya hatari sana kwa magufuli kwenda kulipa atakapofika Monduli kwa rais mtarajiwa.
  7. Y

    Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Lakini naona JK anajichafua mwwnyewe kwa kujibizana na Lissu na kutupa majibu mepesimepesi bila haya. Kama kweli Richmond ilikuwa ya Lowassa kwa nn Lowassa alipoona mkataba ni mbovu na uvunjwe mamlaka ya juu ilikataa kufanya hivyo? Kama leo JK anajitokeza na kusema yeye atamtaja, je alikuwa...
  8. Y

    Acheni utani kwenye Mambo ya Msingi

    Hakuna uhalisia wowote na hizo tafiti zao ccm. Wanashindwa hata kutoa methodology na sample size ya walichokuja nacho.
  9. Y

    Wanakongwa: Ole wako Ndugai ukitumika katika hili la escrow

    Habarini wadau wanajamvi, Tunachukua nafasi hii kama timu ya wana wa jimbo la Kongwa kumuonya mbunge wetu wa Kongwa kuwa hiki ni kitendawili anachotakiwa kukitegua ambacho kipo mbele yake pale kamati ya PAC itakaposoma taarifa yake bungeni juu ya sakata la Tegeta ESCROW A/C. Ni kwa masikio yetu...
  10. Y

    Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba jembe. Admin wekeni automatic system plz
  11. Y

    Naibu spika Ndugai: Nitaacha ubunge mwaka 2020

    Yani anaota mchana kweupe, ye asibiri mwakani atakiona na tunajua ameanza kutapatapa maana watu hata hawamtaki tena Kongwa kimsingi hakuna maendeleo licha ya yeye kuwa katika nafasi nzuri serikalini ndio kaishia kujenga barabara tu na kuna mradi wa maji ambao wananchi wanapata shida eti bado...
  12. Y

    Naibu spika Ndugai: Nitaacha ubunge mwaka 2020

    Ndugai anachekesha kweli watu walionuna. Ni maendeleo gani anayotaka kuwadanganya mlio nje ya kongwa kwa kuzindua hiyo barabara ya km 5 kwa kiwango cha lami kwa muda wote wa kukaa madarakani kwa miaka 15!!! au anafikiri anaongea na watoto wakati kuna huduma mbaya za afya na miundombinu kama hizo...
  13. Y

    Kitabu cha Historia ya harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kimewasili nchini

    Wakuu hakuna soft copy ya kitabu hiki kama ile ya kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru?
  14. Y

    Tanzania: Experts fault government on 'dirty' money laws

    This country needs pple who are committed in a way lyk a dictatorship as a form of leadership so as to bring equality for those who thought that this country ia theirs n there z no someone to overlook them while arevengaging in shameful actions. The end is near to those who need changes.
Back
Top Bottom