Recent content by YONGOMA

  1. Y

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Mwanzoni nilikuwa natafakari bandiko lako +vely. Baada ya kuja na hoja hii ya semina elekezi kwa wabunge wa CHADEMA moja kwa moja nilikupeleka kwenye uwanja wa wajinga fulani hivi. Hivi kama ni semina elekezi akina Kibajaji, Nkamia na etl wapelekwe semina zipi?
  2. Y

    Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    Acha akili za thamaki thamaki!!
  3. Y

    Wanafunzi wote vyuo vikuu kupewa mkopo?

    Ni kweli! Wewe jiandae kupiga kitabu.
  4. Y

    Kwa mabilioni haya ya Ruzuku CHADEMA, Tutamjua Mbowe ni Nani

    Si unajua mkulu anakaribia kutoa post za kazi! Ukizingatia jamaa kazinda kutia guu Lumumba hivyo hakuna njia zaidi ya kujipendekeza through social medias! Ndio maana Lumumba pamecharuka kiasi hiki.
  5. Y

    UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Wakati mwingine muwe mnaangalia nje ya boksi muone huko duniani mabunge yana ishi vipi!!!
  6. Y

    Mpangilio wa shughuli za Mkutano wa kwanza wa bunge Tarehe 13 - 20 Nov 2015

    Kiongozi! Kama ungetumia akili kidooooogo wala usinge andika haya! Hivi na wewe unajiita GT????
  7. Y

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Hata huku Ulaya wapo wanao kula raha bila kufanya kazi. Yaani ukiwa unafanya kazi Ulaya nyuma yako umebeba mzigo wa Jobless guys 5 ama walevi flani hivi. Nakushangaa wewe unaye shangaa watu kufurahia au kula raha wakati hawafanyi kazi!! Au hujui kwamaba hata Royal Family wana kula maisha ya...
  8. Y

    Tatizo sio Magufuli kuwa Rais, ni CCM kupata zaidi ya wabunge 217 out of 264

    Hivi kumbe ACT-Wazalendo ime wazidi UKAWA kwa idadi ya wabunge, eti?
  9. Y

    Kafulila aliangusha serikali #ESCROW ufisadi, Lembeli #TOKOMEZA. Yamewakuta! Hawa ndio watanzania!

    Mbona Mkuchika ana kata chache lakini kapata ubunge?
  10. Y

    GE2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

    Kwa mtu mwenye maono ya kiuongozi, likitokea jambo hili lazima atajua kuna mushkeli mahali hivyo ni lazima kutafuta njia ya kuwarudisha watu wawe wamoja. Na sio kuonyesha kiburi ambacho hakita lijenga taifa kama ilivyo sasa.
  11. Y

    GE2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

    Too low man! You lost you are credibility! Muda si mrefu tutaambiwa kwa ulimi wako usha mlamba Dr. Mihogo 0713 yake.
  12. Y

    GE2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

    Naamini hukuona FUSO pembeni yao lililo wapeleka pale kushangilia huku wakipigwa picha!!!!
  13. Y

    GE2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

    Ni kwa sababu si chaguo lao. Kama sivyo, kwa nini ninyi msiijaze mitandao? Au kwa vile unaingia kwa ID lukuki ndio unadanganya kwamba nyie ndio mmetawala jukwaa?
  14. Y

    GE2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

    Kweli kabisa. Hapa kwetu licha ya kwamba ni makao makuu ya wilaya, wananchi wengi wako down kupita maelezo. Yaani hakuna hata anaye jali kwamba kulikuwa kuna tukio la kumtangaza mshindi wa urais. Wengi wao wamepigwa na butwaa huku wakijawa na huzuni kwani matarajio yao ya walicho kichagua...
Back
Top Bottom