hatuwez kusema moja kwa moja ni tabia ya kuzaliwa au kurithi lakn kulingana na uhalisia wa tabia yenyew yaweza kuondoka klingana na aina ya maisha ulojiwekea au kubadilisha mazingira unayoishi kiujumla ikiwemo watu wanokuzunguka, rafk na watu wengine pia jitahid sanaa kutafuta kijkaz au kitu...
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada natafuta shule ya private ya advance yenye michepuo ya arts kwa mikoa ya Kaskazini kama ARUSHA, KILIMANJARO N. K na ikiwezekana kama unajua na ada zake niekeee hapo.
ahsante.!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.