Recent content by YONA RAPHAEL

  1. YONA RAPHAEL

    Nahitaji kujua lilipo soko la zao la ngwara / fiwi jamii ya maharage

    Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko. Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano au kujua trend ya bei ya zao hili sokoni hususani kwa mkoa wa Arusha.
Back
Top Bottom