Recent content by yomboz

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali?

    kiukweli unatakiwa kwenda kwa mtaalam kuangalia nyota yako labda nyota yako unapendwa xana na majinina pia hata kama ukiwa ulizaliwa njiti ujue wewe ni mtu muhimu xana katika dawa za majini wanazotumia hata huwa wanaongezewa cheo huko walipo
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi nitumie za kupata mkopo kwa kutumia kampuni yako binafsi?

    Habari zenu watanzania wenzangu. Swali langu nilikuwa nataka kuuliza kwamba nimeachiwa kampuni na wazazi wangu ila kutokana na kwenye bank hakuna fedha za kutosha kuimarisha kampuni isimame kama zamani. nilikuwa nahitaji kujua jinsi gani ya kukopa hela bank kwa kutumia jina la kampuni? Tafadhali...
Back
Top Bottom