Recent content by Yohanapeter

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni dharau basi; Malizeni madeni yenu ya mahari

    Mwenye ufahamu wa hili naomba anieleshe,ivi kwenye gharama zinazotajwa kule unako peleka posa,zote utambulika kama mahali?ama kile kiasi anacho ulizwa yule anae poswa ndoo utambulika kama mahali?
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugomvi wa mapenzi unaweza kukufanya usile chakula?

    Hapana
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kazi ya nywele, kucha, kivuli, damu ya hedhi na nguo za ndani katika mambo ya uganga, uchawi na ushirikina!

    Me niko tegeta kiongoz,kwanza me siyo muumini wa ayo mambo ila uwez amini kuhusu iyo chum me niko tegeta ila amini usiamini kaka watu wanakufuri uku duniani
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kazi ya nywele, kucha, kivuli, damu ya hedhi na nguo za ndani katika mambo ya uganga, uchawi na ushirikina!

    Kaka ayajakukuta bado,hasa ilo la chuma ulete
  5. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    😀😀😀 pole mkuu siyo zuri,imalisha mwili kula vzr matunda mambo yataka sawa
  6. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    Poa
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuchunguza simu ya mpenzi wako inasaidia kulilinda penzi lenu?

    Sawa ila na kuchunguza cm ya mkeo aimanishi kuwa unampenda sana,na yawezekana mkawa mnapenda ila kupitia cm inaweza kufanya mkawa kama chui na simba
  8. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuchunguza simu ya mpenzi wako inasaidia kulilinda penzi lenu?

    Mkuu ustarabu kitu cha bure,kma ujapendezwa na nilichoandika wee kausha
  9. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuchunguza simu ya mpenzi wako inasaidia kulilinda penzi lenu?

    Aukatazwi kupekua cm ya mkeo ama demu wako cha msingi uwe na moyo wa uvumilivu
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuchunguza simu ya mpenzi wako inasaidia kulilinda penzi lenu?

    Mkuu kwann xaxa yakwko iwe ngumu kushikwa
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuchunguza simu ya mpenzi wako inasaidia kulilinda penzi lenu?

    Labda kma amemchka na anataka kumtafutia 7bb
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuchunguza simu ya mpenzi wako inasaidia kulilinda penzi lenu?

    Usijalibu kufanya ivyo kma unampenda mpnz wako
  13. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ya Magufuli ni mfano wa kuigwa; hawakuvaa shela wala suti wala kwenda ukumbini na pesa alikuwa nayo

    Mwanaume anae jiamini lazma awe na msimamo,ukiona unashindwa kusimamia yale unayoyaamini ww basi ujue apo kujiamini ji 0
  14. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    Kaka mjini tunakutana na vingi kila kitu ni pesa uku siyo kma uko uliko unakwenda mazoezi siyo tiba ya nguvu za kiume
Back
Top Bottom