Recent content by Yohana Shombe

  1. Yohana Shombe

    MI ni mzoefu na ninaujuzi wa madini ya dhahabu takriban miaka 18 na ninefanya biashara ya kununua dhahabu miaka 9 nahitaji mdhamini wa kufanyanae kazi

    mi ni mzoefu na ninaujuzi wa madini ya shah abuse takribani miaka18 pia nimefanya biashara ya kununua dhahabu kwa miaka9 kutokana na sababu zulizo nje ya uwezo wangu sikuweza kuendelea nakaz hii baada ya mtu ambae alinishika mkono kama mdhamin wang kupata ajali nami kupata ajal nakuvunja miguu...
  2. Yohana Shombe

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Justine kalikawe Panapofuka moshi
  3. Yohana Shombe

    Natafuta partnership kwenye madini

    Kaka jaribu kutembelea chunya kunafurusa hizi na utapata haraka maana huku kwetu wakemia ni adimu
Back
Top Bottom