Recent content by yohana mark

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Mh. Joseph Mbillinyi familia yako inakulilia

    Wanajuana kama walivyoanza kwa siri wamalize kwa siri hivyo hivyo,
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ninakataa kwa nguvu, na mizimu ya Mzee Nyerere inisimamie!

    Ingekuwa mikoa ya mwanza, kilimanjaro,mbeya, wasingepita, lakini kwa mikoa ya pwani, kijana wa J atapita
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi

    Wananchi tunataka kura ya siri, ccm kura ya wazi, kunanini
  4. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamuwezi kutwaa dola kwa Chopa na Maandamano, waelezeni wananchi mtawafanyia nini

    Kaka inaonekana uko nje ya siasa kabisa,,mmmh,muda mrefu chadema wameshaeleza watafanya nini wakipewa nchi,na hata ilani ya uchaguzi inaeleza, mambo mengine kaka tafuta vitabu usome yameandikwa,
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    Yeye amesema sasa lolote usilolijua usipinge mapema ,chunguza kwa kina kwanini kasema hayo, je ni siasa ya jukwaani,au imeandikwa,je ni mfano ,,kuna mengi jiulizeni ,kwanini,
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais CHADEMA 2015- ushauri wa bure

    Kibali cha dr Silaa kiko juu,siyo wakati muafaka kuweka mwingine,
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    Sioni sababu ya mtu kung'ang'ana na chama ambacho hakikuhitaji,sera na mipango yako mizuri ipeleke chama kingine,hata Yesu alikuja kwa watu wake walipomkataa akaangalia mataifa mengine ili afikishe alichokusudia, Hama chadema nenda hata .......ukapitie huko
Back
Top Bottom