Recent content by Yesu Wangu

  1. Y

    MSAADA:IVI ILI UWE AFISA ELIMU UNATAKIWA UNATAKIWA UWE NA ELIMU GANI ?

    Kimsingi mtu anapokuwa na shahada ya elimu na akaajiriwa kama mwalimu cheo chake ni afisa elimu daraja la pili,,so kazi ni mwalimu na cheo ni afisa elimu II, suala la kuwa afisa elimu wa wilaya au mkoa ni ww kuongeza elimu at least kuwa na masters ndo cheo kinapanda kuwa mkuu wa idara lakini pia...
  2. Y

    Natafuta kazi, nina shahada ya Political Science and Public Administration

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Y

    Natafuta kazi, nina shahada ya Political Science and Public Administration

    Wadau natafuta kazi yoyote inayoendana na professional yangu. Elimu yangu ni shahada ya political science and public administration Nimemaliza mwaka 2011 nilikuwa nafanya kazi katika NGO moja as program officer then mradi umeisha mwaka Jana 2018 hivyo Nina uzoefu wa kutosha katika kazi msaada...
  4. Y

    Nahitaji rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo

    Njoo Pm Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Y

    Naomba kuliza kuhusu Ajira Portal wenye uzoefu nayo

    Naomba kuuliza km taarifa zangu zipo kwenye portal nikitaka kuomba kazi tena naanza upya kuingiza taarifa zangu na vyeti au inakuaje msaada wenu wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Y

    Natafuta kazi

    Nina bachelor ya public administration pia nimesoma project planning and management Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Y

    Natafuta kazi

    Wadau natafuta kazi mkoa wowote mambo ya utawala na project management Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Y

    Administrative officer

    Hahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Y

    Administrative officer

    Daaah nishafanya maswali magumu balaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Y

    Administrative officer

    Daah mkuu nishaingia theatre c Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Y

    Administrative officer

    Wadau mliowahi kufanya written interview post ya administrative officer maswali huwa yanakuaje,, tusaidiane Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom