Hapo nadhani tunachanganya mambo mawili. Ni kweli kwamba poll ya JF haiwezi kutumika kusema moja kwa moja kwamba Kafulila ana ushawishi kwa Watanzania wote, kwa sababu waliopiga kura ni watu walioamua wenyewe kushiriki. Tafiti zinaonesha kuwa kura za aina hii za mtandaoni zinaweza kuwa na...
Niliwahi kuandaa kura ya maoni (poll) hapa JamiiForums, kwa lengo la kupima kiwango cha ushawishi na kuaminika kwa baadhi ya watu katika jamii ya Tanzania. Kama kumbukumbu yangu iko sahihi, matokeo ya kura hiyo yalionesha kuwa Kafulila ndiye aliyeongoza, jambo lililoashiria kuwa ana kiwango...
Kafulila ni Magufuli mtupu, na huenda akaja kuwa zaidi ya Magufuli kwa uwezo na uthubutu wa kiuongozi. Ndiyo maana naamini baadhi ya watu ndani ya CCM wanaweza kuwa na hofu kubwa sana ya kumuona akifika kwenye nafasi za juu za uongozi. Uwezo wake, misimamo yake na uthubutu wake vinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.