Recent content by Yelo masai

  1. Y

    JamiiForums Swali juu ya mahusiano

    Amani kwenu wana MMU, Eti nauliza kama mme au mke akitoka nje ya ndoa mwenza wake anaweza mfungulia mashitaka yoyote mbali na kudai talaka Na pia je anaweza mshitaki yule ambaye amechepuka nae?
Back
Top Bottom