Recent content by Yellow Rose

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Sheria za Utumishi wa Umma zipo nyingi tu na hiyo inayomtaka mtumishi kupata ridhaa ya likizo na pia akiwa anataka kusafiri nje ya nchi ipo. Sababu zinaeleweka kwa watumishi husika. Kwa kuwa wewe si Mtumishi wa Umma ndio huelewi. Hajatunga Magufuli amezikuta na anazisimamia. Uvivu uliokidhiri...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Hao viongozi wa TAKUKURU, ile ilikuwa dharau kwa mamlaka ya Rais

    Mhusika anajaza fomu ambazo zinapitishwa na Mkuu wake na kuwasilishwa Ikulu. Kibali kipatikane au kisipatikane anayesafiri na Mku wake wote watajua.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Zamani hizo vijijini ambako kipindi cha utandawazi na mitandao hakuna, watu waliokwenda kinyume na taratibu walizojiwekea kwenye vijiji vyao walipongundulika wamekengeuka walitungiwa nyimbo za kuwasema na kuwasuta. Hivyo kila mmoja alijua ni nani anazomewa. Hivi kweli tunataka kuaminishwa...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Bila upinzani imara rais angekuwa Membe

    umeona e kula like mkuu.
Back
Top Bottom