Recent content by Yehova Yire

  1. Yehova Yire

    GE2020 Kuachia nchi au kuikabidhi nchi sio jambo rahisi kama tunavyofikiria

    Ndugu; Sekeseke na ukaidi kidogo na pengine hata kujaribu kugoma kukabidhi nchi kwa mshindi, hilo linatarajiwa bila shaka Lakini jambo moja la uhakika ni hili; NI LAZIMA ALIYESHINDWA AKABIDHI UONGOZI WA NCHI KWA MSHINDI! Haijalishi ni njia gani zitatumika lakini, lazima CCM na JIWE wakabidhi...
  2. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Sikubaliani kwa kiasi kikubwa na maelezo yako haya. Nimekusoma na kukuelewa ktk mtazamo wa mtu unayejitetea zaidi badala ya kuchukua jambo hili kama changamoto na kisha kuwajibika! Na hii ndiyo inathibitisha zaidi kuwa kumbe kweli kuna uzembe na kukosa umakini kwa kiasi kikubwa kwa wataalamu...
  3. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Ikigijo: Uko sahihi sana. Mungu katupatia maarifa lakini tuna under-utilize hayo maarifa halafu watu wakilalamika, utetezi unaotoka ndiyo kama huu wa huyu jamaa yetu Mzinza wa Town!! Kwako wewe Mzinza wa Town; Sidhani kama kuna mtu anasema anasema kuwa madaktari wazuie na kusiwe na vifo kabisa...
  4. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Kwanza nashukuru na asante sana kwa kunipa pole. Ilishatokea, nilishasahau yameshapita na maisha kwa sisi tulio hai yanaendelea Pili, haikuwa nia wala kusudi langu kusababisha chaos ktk hospitali hiyo. Nimeliweka hili kama lalamiko tu la kutoridhishwa na huduma ktk eneo hilo. Kulalamiko huku...
  5. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Kwanini umemweka daktari katikati kwamba ndiye pekee ananyooshewa vidole? Kwani wewe daktari haiwezi kutokea ukawa pembeni na huyu "administrator" ama yeyote aliye pembezoni kwenye mchoro wako akawa katikati akinyoshewa vidole? Kwa maoni yangu Mimi, nasema iko hivyo, kwamba, kila mtu ana...
  6. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Mimi si daktari ila nina taaluma nyingine na mwajiriwa wa umma kama walivyo madaktari wetu Hivyo ninalaumiwa sana ktk profession yangu na katika eneo langu la kazi ya kuhudumia watu Lakini tofauti yangu mimi na wewe pamoja na madaktari wenzio "mnao ogopa" kulaumiwa ni kuwa, mimi siogopi...
  7. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    . Asante kwa maelezo yako mazuri na kwa upande mwingine umeelimisha Kuna wengi humu wamebaki kujihami na kunituhumu kuwa nazushia hospitali uongo kwa ishu serious kama hii inayohusu maisha yangu mwenyewe, mke wangu na uhusiano wangu na Mungu muumba Mimi ni mkristo aliyehai. Ninajua nguvu ya...
  8. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Kwa nini nyie wengine mnakimbilia kwenye ishu ya "huyu mleta mada anaweza kuwa anazusha" Nizushe ili iweje kwenye ishu serious kama hii juu ya kifo cha mtoto wangu? Sikiliza ndugu, I have nothing to gain kuzusha ishu kama hii!! Mke wangu alijifungulia hapo na mtoto alikufa huku rekodi za...
  9. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Wooh, asante sana!! Hata hivyo, niseme kidogo na wewe; 1. Acha mimi nikupe pole wewe kwa sababu lipo tukio la kifo ktk mazingira kama haya litakuhusu wewe moja kwa moja ama mama yako, baba yako, mtoto wako ama yeyote anayekuhusu wa karibu! Hapo ndipo utakapotambua kuwa HEKIMA na BUSARA ni...
  10. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Lengo la mjadala huu si KUTAKA MTU ALIPWE MTOTO WAKE Lengo ni wahusika wajue kuwa kama hawawajibiki ipasavyo kutekeleza wajibu wao kuokoa maisha ya watu, basi watu watasema Kwa kifupi sana, ni kuwa matukio kama hapya yanayoripotiwa kwa watu kulalamika, LENGO na NIA YAKE ni kutufundisha...
  11. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Asante kwa concern + maoni yako. Hata hivyo naomba ni - react kwa namna hii; 1. Sina sababu ya kuichafua hospitali kwa suala nyeti kama hili linalohusisha kifo. Nilichokiandika hapa ni sahihi, imenitokea ktk hospitali hiyo 2. Lini na muda gani, It doesn't matter at all kwa sababu mtoto hayupo...
  12. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Asante kwa ushauri na maoni yako... Lakini nimesema tangu mwanzo kuwa, kuna vifo kweli havizuiliki na utawaweza kuziona juhudi za madaktari na wahudumu kwa uwazi kabisa wakihangaika kuokoa maisha ya MTU Lakini kuna mazingira fulani utaona kabisa kuwa kifo hiki kisingeweza kutokea iwapo tu...
  13. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Yote yanawezekana na tunayaweka ktk kapu la UKOSEFU WA UMAKINI na UAMINIFU na PIA UZEMBE!
  14. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Mimi nimfanyie ultra sound? Hebu labda urudie tena kusoma maelezo yangu ya tukio zima Nimesema, tangu tulipojua kuwa mke wangu ni mjamzito, alianza kliniki mara moja Kiliniki maana yake ni kuu - monitor ujauzito wa mjamzito husika Kama ni ultrasound, basi daktari anayefanya monitoring ndiye...
  15. Yehova Yire

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    No, hakuna sababu ya kueleweka. Laiti ingekuwa hivyo, nisingekuwa na sababu kushirikisha members wa jukwaa hili uzoefu huu!
Back
Top Bottom