Recent content by Yehoshafath

  1. Y

    JamiiForums Paschal Mayala atoa Ushauri wa bure kwa wana JF

    Mayala hatupingi kila kitu,ila tujiulize nini maana ya maendeleo?nadhani hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania kujua dhana ya maendeleo,huwezi sema kuwa tumeendelea wakati kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele,ndivyo tunavyozudu kuua viwanda vyetu,taifa haliwezi kusema kuwa limeendelea huku...
  2. Y

    JamiiForums Sababu za JK kumnyima Samuel Sitta na kumpa Anne Makinda nishani hizi hapa!

    Wamethubutu,wameweza na sasa wanazidi kusonga mbele kutulaghai.
  3. Y

    JamiiForums Nape atoa msimamo wa CCM dhidi ya posho za wabunge

    Angalau Nape ameonesha njia...ni vizuri waendelee kutofautiana katika suala hili la Posho....
Back
Top Bottom