Recent content by yeheda maukweli

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Chuma ulete. Nimejichanganya

    Ndo vianze baada ya kuokota? Unaongea kirahiai
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Chuma ulete. Nimejichanganya

    Nisaidieni mawazo jamani. Sijawahi kwenda kwa mganga. Juzi natoka geto kwenda kwenye kibanda changu nikakutana na buku mbili njiani. Nikarudi geto nikachukua chumvi ya mawe nikaimwagia nikaiokota. Kwanzia hapi kila jioni nikipiga hesabu. Pesa zinapelea. Pesa ukirudia kuhesabu zunapelea tena...
Back
Top Bottom