Recent content by yegowasu

  1. yegowasu

    Tume ya jaji Warioba kuunguruma tena tarehe 2 Novemba, Blue Pearl

    Hizi ni habari njema hongera sana Humphrey PolePole
  2. yegowasu

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Wabunge wa Mwibara wabishi sana! "Jimamba ninyafu sana"akidi ya mkutano wa kijiji kugawa ardhi nasikia haikuwepo! Viongozi walikula mkwanja kutoka kwa Kangi Lugola akauziwa eneo kwa laki 6 huu ni ufisadi mkubwa sana.
  3. yegowasu

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Katika nchi changa kama Tanzania tukianza kuchukiana kwa kulazimisha viongozi wachafu kuchukua madaraka kwa njia ya rushwa hayo ndiyo madhara yake! Kangi alichukua ubunge wa mwibara kwa njia ya rushwa na inasemekana hata hilo eneo lenye utata alilinunua kabla ya ubunge; lakini mpaka hivi sasa...
  4. yegowasu

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Mwaka huu tutasikia mengi! Tupia kapicha Karumbeta walau tuone mkutano ulivyojiri. Mbona hukutuletea updates? Tupia picha.
  5. yegowasu

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Haki inapatikana mahakamani na siyo kwenye majukwaa ya mitandao! Mwanasheria nakutakia kila la kheri!
  6. yegowasu

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Huu uzi umekaa kichokonozi sana! ---- kuna na mengine mtujuze wana wa mwibara. Sauti ya umma ndiyo sauti ya Mungu! Tumieni vikao myamalize.
  7. yegowasu

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Jimbo la mwibara mbona linawatu makini sana! Namkumbuka mh.Bahati Mtamwega Mgaywa! Huyu jamaa alikuwa mnyenyekevu sana, na alikuwa karibu na wananchi wake wala hakupora maeneo kama kangi! Nimefuatilia nimebaini huu mgogoro upo kwa chini chini na mbunge ni sehemu ya tatizo wala hakuna mambo ya...
  8. yegowasu

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Mmhh!! Ardhi itatoa watu roho! Mbunge jipange vizuri na wananchi wako hii haijatulia kabisa!
  9. yegowasu

    Kwaheri UKAWA karibu tena CHADEMA

    Polisi nao waache kutumika wanaipa prom chadema kwani wakiandamana wanakwenda kupindua nchi? Si ndo utakuwa mwisho wao! Waacheni wasage Viatu vyao.
  10. yegowasu

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    Mhhh!! Ufisadi wa huyu Lowasa unatisha tuache utani. Hafai hafai kabisa. Kamateni wekeni ndani huyu jangiri hafaiiii!!
  11. yegowasu

    Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    Chama bado kilikuwa na nguvu tatizo liko kwa mkuu wa nchi kutokufanya maamuzi magumu. Tume ya ya Rais chini ya mwenyekiti wake Jaji Warioba ilifanya kazi nzuri sana inayosifiwa na kila mtu isipokuwa Sitta peke yake. Namfananisha Warioba kama mtu aliyefyeka pori nene; akang'oa visiki na kulima...
  12. yegowasu

    Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    Ndani ya chama kila mtu anamuogopa mwenzake why?
  13. yegowasu

    Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    Alichokisema makongoro ni sahihi kabisa maana makundi ndani ya chama chetu yamezagaa. Na mbaya zaidi ni mchakato wa katiba unazidi kutuweka pabaya zaidi. Tusipo heshimu maoni ya wananchi na kujidanganya kuwa nguvu ya dola itatumika kulinda mchakato na masilahi ya wachache kuliko wengi, tutakuwa...
  14. yegowasu

    Kikwete: Mazungumzo yangu na vyama vya siasa yamekwenda Vizuri!

    Ritz kuna watu hawana hata busara ya kawaida. Mkuu wa nchi anatamani sana kuona mchakato unabaki njiakuu lakini sasa ni shidaaah!!
  15. yegowasu

    Kikwete: Mazungumzo yangu na vyama vya siasa yamekwenda Vizuri!

    Kwenye andiko lako ulianza vizuri sana ukaja kuharibu pale uliposema ukawa walegeze misimamo yao! Nikuulize kati ya ukawa na ccm nani kaweka msimamo? Ukawa wanaunga rasimu ya pili ya Tume ya Rais iliyokuwa chini ya jaji Warioba. Ccm wanaunga mkono serikali mbili nje kabisa ya Rasimu ya tume ya...
Back
Top Bottom