Recent content by Yazidu Hamza Bitika

  1. Yazidu Hamza Bitika

    SoC02 Soka na Uchumi wetu

    SOKA NA UCHUMI WA TANZANIA. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Awali ya yote nipende kukushukuru wewe ndugu yangu, uliyetega jicho na kufungua ubongo wako kwa umakini ili kujifunza juu ya mada hii. Tanzania ni katika mataifa yanayokabiliana na tatizo Kubwa la ukosefu wa...
  2. Yazidu Hamza Bitika

    SoC02 Tuwatolee risasi mashujaa

    Habari za wakati huu ewe msomaji wa makala hii, nipende kukushukuru kwanza kwa kutenga muda wako kwaajili ya kutengeneza maarifa mapya kutoka katika ujumbe huu uliojaa madini na ninaamini hutajutia hata sekunde yako moja katika kusoma makala hii. Jana tarehe 25/07/2022 ilikua ni siku Kubwa sana...
  3. Yazidu Hamza Bitika

    Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Nashukuru kwa mchango wako katika mada hii, naomba unielewe sehemu moja, ninaona Watanzania baadhi wakiwa na Imani Kama uliyokuwanayo wewe, lakini hiyo ni dhana tu, hata Mwenyezimungu muumba anatuamrisha kuwa tusiwadhanie watu vibaya kwasababu hakuwahi kukutamkia kuwa hamuungi mkono Rais wa...
  4. Yazidu Hamza Bitika

    Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
Back
Top Bottom