Recent content by yaseen manoral

  1. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    Who r u?
  2. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    Pamoja ndugu ....CCM imeshindwa kazi so 2015 mabadiliko muhimu
  3. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    We unaona raha eh tukiitajataja CHADEMA humu eh
  4. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Ufaulu mbovu Kidato cha Nne ni mpango wa Serikali!

    Tokea Uhuru CCM inatumia ujinga wa watu kujihakikishia ushindi ndio maana mara zote Inachukia wasomi
  5. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Je, watanzania tunaelewa siasa za nchi yetu?

    Sijakusoma ndugu
  6. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Je, watanzania tunaelewa siasa za nchi yetu?

    Ndugu zangu Tanzania sasa ni miaka 50 imepita tokea uhuru je tunajua wapi tulipotoka kisiasa, wapi tulipo na wapi tunaelekea kisiasa? Na kwanini siasa zetu zinabadilika. je zinabadilishwa au Tunazibadilisha?
  7. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Mkapa ajitosa sakata la gesi, apendekeza njia ya mazungumzo kutafuta muafaka!

    Haipo hio kama waliua baada ya waziri mkuu kuahidi kiwanda cha kusafisha gesi mtwara
  8. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wana ZanID, kwanini wa-Tanganyika tusidai TanID??

    Ili iweje sasa
  9. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    We Mtela ulitaka kamanda wetu aje kuomba msaada CCM Alafu ulivyo kuwa ujui sheria eti unauliza sheria gani iliyo mruhusu kujikopesha.....na mimi na kuuliza sheria gani iliyo mkataza kukopa
  10. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    People's power chadema vema tunajivunia umma
  11. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mkutano wa hadhara leo

    Habari kamanda, nakupa taarifa ya mkutano wa hadhara j2 tar.24 kata ya Makumbusho, katika uwanja ambao upo mbele mbele kidogo ya shule ya msingi Mwananyamala B, au karibu na kituo cha Royal Mwananyamala, mgeni rasmi Mh.Mnyika. Tafadhali toa taarifa kwa wanachama na wananchi waudhurie kadri...
  12. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Tuandamane jamani kupinga mgao wa umeme
  13. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akerwa na members wa JF kujadili mauaji ya kidini

    Vita vya Dini Havina mshindi.... Wakristo, waislamu na wapangani Tupendane.....Hivi mauji ya kimbari hayajatufundisha chochote...kenya je....somalia....sudani....nigeria Biafra....hadi leo mshindi wa dini ajapatika... Tanzania ni watanzania na watanzania ni wote
  14. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akerwa na members wa JF kujadili mauaji ya kidini

    Watanzania wapi Tunaelekea...Tumeshindwa kupambana na adui Ujinga,Umasikini, na Maradhi... Tunajitengenezea adui mpya eti udini alafu tunaacha CCM wanakula nchi....Tuamke watanzania........Ummoja ni nguvu....Tanzania ni ya watanzania na watanzania ni wote
  15. yaseen manoral

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Jamani wa Tanzania huu mgao wa kimya kimya hatuuoni au ndio mpaka wabunge waongee huku tunapokwenda sio Tuamke watanzania. Kunamsemo wa kiswahili unasema: babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwa
Back
Top Bottom