Recent content by Yaras

  1. Yaras

    JamiiForums Tanzania KERO Pemba: Barabara zaidi ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana

    Zinaongoza mkokoteni wa babako sio vibaya kuwepo
  2. Yaras

    JamiiForums Tanzania KERO Pemba: Barabara zaidi ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana

    Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar. Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima. Tofauti na kisiwa cha unguja tumeshuhudia barabara nzima zikibomolewa na kujengwa mpya , hali ipo tofauti kwa kisiwa...
  3. Yaras

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    Maisha ya sasa kama huna gari au hata pikipiki madem wanakuona boya sana huo ndio ukweli, mademu wanapenda sana show off waonekane wameshushwa katika gari sio kuparamia madala dala!!
  4. Yaras

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kupatikana kwa huduma ya internet ( fiber) TTCL

    Kinachokera wanapotosha watu mtandao wanadai kua wanatoa huduma kwa ufanisi Tanzania nzima
  5. Yaras

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kupatikana kwa huduma ya internet ( fiber) TTCL

    Wanazingua kinoma
  6. Yaras

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kupatikana kwa huduma ya internet ( fiber) TTCL

    Huku Zanzibar nadhan haijafika hio huduma
  7. Yaras

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kupatikana kwa huduma ya internet ( fiber) TTCL

    Habar! Mimi ni mkaazi wa Zanzibar (unguja) niliomba kuunganishiwa huduma ya internet kwa njia ya wire(fiber) katika ofisi za TTCL tokea mwaka jana 2023 , mara ya mwanzo kufika ofisini KIJANGWANI ZANZIBAR walinambia nijaze form, nikaja na kukabidhi ile form! Nimekaa karibia miez 8 kila siku...
Back
Top Bottom