Recent content by yamalenko

  1. yamalenko

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu imani/dini ya Rastafarians

    Well said Rasta,imani safi kuweza kuishuhudia katika huu ulimwengu. sema inapigwa vita sana na mabepari. kwa kuwa ipo sana kinyume na matakwa yao. Rastafari imejikita katka kumkomboa binadamu asiwe mtumwa wa fikra.kwa hiyo kuna uongo mwingi sana wanazushiwa Rasta waonekane ni watu wa ajabu...
  2. yamalenko

    JamiiForums Tanzania Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Tatzo ni umaskini wetu na serikali za Africa hazijawekeza kwenye rasilimali watu.watu wakitengenezewa mazingira ya kufanya wanachokipenda au kipaji vitaleta mabadiliko ya kifikra kwa watu wengi,maana kipaji huleta pesa
  3. yamalenko

    JamiiForums Tanzania ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    Mleta mada kaelezea vzurii sana na ameeleweka,mnachoshindwa kumuelewa ni juu ya uwepo wa hizi dini na Mungu anayeabudiwa ambaye kwa mujibu wa historia inaonyesha inawiana na mafundisho ya Anunak,na kwa mujibu wa neno Mungu ni cheo ambacho kilitumiwa na Anunak.ni wajibu wetu kumtafuta aliyeumba...
  4. yamalenko

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

    Inauma,inasikitisha na inahuzunisha now days tunaambiwa elimu bure ili kupunguza ufanisi katika nyanja zote za elimu,watoto wao wanasoma kwa mamilioni
Back
Top Bottom