Recent content by Yakral

  1. Y

    Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

    Hiki ndicho nlitarajia kukiskia kwenye mjadala huu. Asante sana
  2. Y

    Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

    Suala la mwanamke kujifunika mwili mzima. Hapa unaingilia masuala ya imani za watu na si jambo jema. Anae jifunika ana sababu zake na mismamo yake lakini pia umezungumzia suala la harufu. Je una ushahidi wa japo mtu mmoja alie lalamika kua akivaa ivo anatoa harufu au umeweka dhana na dhamira tu?
  3. Y

    Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

    Imeelezwa kama ubakaji ila ukiangalia namna kosa lilivyo tendeka ni kama hawa wawili walikua wana maridhiano kua wataoana. Kwaio imechukuliwa kama kesi ya ubakaji kwani kijana ametumia mgongo uo kulaghai. Sio katumia nguvu.
Back
Top Bottom