unajua nchi hii watu mpaka watumwe ndio wafanye ujinga wao! jamani mambosasa kumpekua askofu unatafuta nini, biblia, joho lake au msalaba! sababu katiba mpya muhimu sana!
heee! sasa mtu kasomea in deep masomo mawili a -level mpaka university leo umpangie afundishe masomo manne yapi tena na kwa uelewa upi alionao! eati wengine jamani sijui wanafikiria kwa kutumia nini!
muhimu mtoa mada ukafahamu hii nchi ilikaribia kupoteza mwelekeo kwa uozo!! hapa tulipifika inabidi watu walio misuse offices and public funds wajitambue kwamba walilikosea taifa hili kabla hata huwajapata muda wakujipanga ili wazidi kuturostisha!! hawa hata mahakamani watakushinda mana wana...
aaah we jamaa! mbona jk alikuwapo 10 yrs mambo yakawa vilevile ina mana hakutimiza majukumu yake au?!! haya mambo yanahitaji maamuzi ya mtu jasiri na mwelevu!! c mwoga kama wewe!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.