Recent content by yaki

  1. Y

    Wapinzani wa nchi hii mkiwa na Rais Magufuli kwenye platform mnamsifia, akigeuka mnakana maneno yenu, mko kundi gani?

    Nadhani kwenye Katiba, ile sehemu yenye haki za binadamu, tungeongeza ibara inayosema "kila mtu ana haki ya kutoogopa mtu au kitu chochote wakati wa kutekeleza majukumu yake".. Msigwa ndiyo kipimo halisi cha watanzania ambao tumezoea majungu, kuongea vitu nyuma ya pazia lakini tunapokutana na...
  2. Y

    Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii?

    Askari kama Mtanzania yeyote ana haki ya kujilinda na kama kujilinda huko kunaitaji kuua ili asiuwawe yeye basi anaruhusiwa kuua. Haki ya kujilinda ipo kwenye Katiba ya JMT.
  3. Y

    Tunaitaji hili hapa haraka sana;

    The first revolution is when you change your mind about how you look at things and see that there might be another way to look at it that you have not been shown.. Ushauri: Somo la Falsafa lianze kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza..
  4. Y

    Espionage; How agents transmit findings

    kwa kutumia code language..mfano namba tupu lakini ni ujumbe wa maneno.
Back
Top Bottom