Recent content by Yajayo yanafurahisha

  1. Y

    Nusuru ndoa yangu

    Ahsante sana rafiki, nimekuelewa vizuri Ndiyo
  2. Y

    Nusuru ndoa yangu

    Ni nini hicho? Nisaidie ndg ni
  3. Y

    Nusuru ndoa yangu

    Ni kweli, ndg zake hasa mama na dada zake wanaamini Mimi ndiye mwenye matatizo ila kaka zake wanapingana naye vikali
  4. Y

    Nusuru ndoa yangu

    Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto. Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili...
Back
Top Bottom