Recent content by yahya almas

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kingunge awapinga CCM, bila ukawa ndoto kupata katiba, makosa kumshambulia Warioba

    baadae wasiambiwe wanazeeka vibaya
  2. Y

    JamiiForums Tanzania UAMSHO wamjibu LUKUVI

    tuwe makini tusivuruge nchi, kutofautiana kusiwe kutoleana kashfa UAMSHO toka mwaka juzi wanazungumzia serikali 3 hilo ni kosa? mpaka wanasibishwe na magaidi daima anayedai haki huonwa kwa jicho baya. lukuvi alivyo shabikia kikombe cha babu loliondo kwa magonjwa yake mlimuona shujaa watu wengi...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mzee Aboud Jumbe Mbona uko Kimya Sana ?

    tatizo toka mwanzo msema kweli alisakamwa, historia bila kuandikwa upya bila upendeleo hakuna kitakacho kaa sawa. tazama kina lukuvi mara kikombe cha babu safi sasa udini wake kanisani inakera.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania RaiaMwema: Nini kilichotokea kati ya Kolimba na Nyerere?

    historia ni muhimu sana ikatunzwa na kuenziwa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Umajumui wa Africa (Pan Africanism)

    Ni vigumu, hakuna alie tayari kuungana iwe watawala au wapinzani hata wanaharakati wote wanaangalia maslahi binafsi ya muda mfupi
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu kuhusu Kitabu cha Mohamed Said

    kwa nini watawala hawataki historia ya kweli? hii inasababisha vijana kuwatukana watangulizi, mwisho tanzania itavurugika ni vema ukweli ubakie ulivyo.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mfalme aliyekuwa wa Zanziba, Sultan Sayyid Jamshid ni mzawa mzaliwa wa Zanzibar hakuja kama Mgeni

    tuache hisia za ubaguzi wa kidini au kikabila
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mama salma kikwete kwa wakazi wa lindi, awahutubia kuhusu Muungano

    wananchi wa lindi hawajui kiswahili, tuangalie misemo wapiga kura ndio hao tunawahitaji
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Hati ya muungano ilikuwepo Ikulu. Sasa kwanini AG alielekeza ifuatwe UN??

    shekh karume alibaki na kopi, mwalimu nyerere aliondoka na kopi nyingine UN, ndio maana zanzibar ikapoteza kiti UN,swala liwe kudai hilo.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Hati ya muungano ilikuwepo Ikulu. Sasa kwanini AG alielekeza ifuatwe UN??

    shekh karume alion
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    akifanya vema asifiwe, baya azomewe.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Katiba: Wazanzibari, Urais uwe kwa Zamu

    inatakiwa nia njema
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Prof. Remmy Assey alipataje uprofesa kwa upotoshaji huu wa takwimu za Warioba?

    hayo ni ya maprofesa
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    mmehamishwa kwenye mada
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    lukuvi kakosea sana kulinganisha cuf na uamsho. hofu yake isituharibie mchakato, lndia anakwenda fanya nini aendelee na kikombe cha babu. anatuharibia
Back
Top Bottom