AFU NIKUULIZE SWALI DOGO TU??????
KWANINI MSABATO ANAPINGANA KA WAKRISTU WENGINE NA WAISLAM????
SHIDA NI NYIE AU SISI WAKRISTU NA WAISLAMU TAFAKALI HILO
I BLNG 2 JESUS CHRST
HIVI KATI YANGU NA WEWE NI NANI ANATELOPOKA??????? UNAWEZA UKANITOFAUTISHIA KATI YA SABATO NA WASABATO???TATIZO LAKO UNAPANIKI TULIZA AKILI USIKURUPUKE HUU NI ULIMWENGU MPYA NI TOFAUTI NA ILIVOKUWA RAHISI KUWADANGANYA WATU MIAKA YA ZAMANI.........
KWA HIYO HIZO STORY UNAZOEDIT UNATAKA TUENDELEE...
hatuhitaji hiyo historia ya walokole ambazo mnadanganywa huko kanisani kwenu...sisi tunafahamu tayari tunataka uliongelee kanisa lako na mwanzilishi wenu
I BLNG 2 JESUS CHRST
kanisa lenye lilianzishwa na genge la wahuni waliojiita manabii na wakashindwa kuprove huo unabii wakaanza kulaumiana.......Afu mimi na akili zangu nianze kuwasikiliza hebu soma hii makala kuhusiana na ELLEN G WHITE na genge lake la wahuni
I BLNG 2 JESUS CHRST
UNATATIZO LA KULAZIMISHA VITU AFU UNASEMA KANISANI X MASS...NGOJA NIKUPE RATIBA YA KANISANI KILA SIKU YA WAKATORIKI.....KILA ASABUHI TUNA MISA KILA SIKU ZA WIKI UMEELEWA ...TUNA VYAMA VYA KITUME..ambavyo lengo ni kumtangaza Kristu kwa wale wasiomwamini ukiwepo wewe .......HIYO BIBLIA UNAYOSEMA...
WASABATO lengo Lao kuu sio kuhubili na kumtangaza Kristu lengo Lao kuu ni kupata waumini waongeze sadaka makanisani kwao................ndio maana wao wanashambulia makanisa mengine yanayo Muhubiri Kristu......MSABATO atamshambulia mkatoliki...hataishia hapo atamshambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.