Recent content by yahoo

  1. yahoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

    Si sio milima tutakutana
  2. yahoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aden Rage kumshauri Try Again na Mangungu kudai Tsh. Milioni 100 za bango la Yanga kuifunga Simba 5

    Simba nayo itabidi ishitakiwe
  3. yahoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani mi mgeni kidogo kwenye kubet,nauliza 0.5 inamaana gani
  4. yahoo

    JamiiForums Tanzania Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

    Kwa hiyo Kutumia iphone kutanifanya niwe shoga?!!!!!
  5. yahoo

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Bima ya Afya NHIF shilingi ngapi?

    Nina miaka 40, watoto watatu, nafanya biashara zangu
  6. yahoo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sisi Watanzania tunahitaji ukombozi wa fikra

    Na ndio maana rais anaahidi mil 10 Kwa Kila goli wakati wanafunzi wanakaa chini ...Alafu Kuna mazuzu yanachekelea bila kuhoji
  7. yahoo

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Bima ya Afya NHIF shilingi ngapi?

    Nauliza Kwa anaye fahamu taratibu ya kupata kadi ya bima ya Afya na taratibu zake...NHIF
  8. yahoo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kugonga Treni, au Kauli ya Kugonga Treni inatoka wapi?

    Hapo pichani ni trenin imegonga gari. Full stop
  9. yahoo

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu salamander house ilipo

    Shida yangu ni Kwenda makao makuu ya GSM ambapo naambiwa wapo jengo la salamander house Dar, please
  10. yahoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

    Huyu jamaa kumbe Kuna wakati anaakili
  11. yahoo

    JamiiForums Tanzania Naishi nikisubiri kifo, nimechoka sana

    Mshukuru Mungu Kwa kua unahela ya kununua pombe, wengina tunaihitaji tununue msosi
  12. yahoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam TV heshimu wateja wenu

    Hata Mimi Nilijiulza kuhusu Hilo la kuhamisha kamera, nikaona Azam nao wametufanyia makusudi
  13. yahoo

    JamiiForums Tanzania Wazungu wahamasishwe kuzaa sana, kugoma kuzaliana kwa wingi kuna hatari mbeleni dunia itajaa wajinga watupu

    Mwenye Uzi unaakili sana, na pia wapunguze kupokea wakipinzi kutoka nchi za waarabu, ni hatari sana Dunia kutawaliwa na waarabu hapo badae.
  14. yahoo

    JamiiForums Tanzania Zumaridi hana kesi ya kujibu

    Mlitarajie afungwe Kwa kosa gani Kwa mfano
  15. yahoo

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

    Imekaa kiislam sana
Back
Top Bottom