Recent content by yahayabaidu

  1. Y

    Assist on this 'DS' question please

    Kwanza vipi with wanaweza leta maendeleo,umuhimu WA maendeleo kwa watu
  2. Y

    Shamba ekari 12

    SHAMBA lipo MKURANGA Lina mazao kama minazi inayozaa,mikorosho na ni eneo LA mchanga.kwa mawasiliano piga 0653615729 au 0682 835 945.
  3. Y

    Shamba linauzwa ekari 12

    Shamba lenye minazi pamoja na mikorosho linauzwa. Lipo wilayani Mkuranga katika kijiji kiitwacho Magoza. Ni tambarare na ni eneo la mchanga mweupe. Bei maelewano. Pia halipo mbali na barabara ya magari na gari inafika mpaka shambani. Kwa anayehitaji, wasiliana nami kwa namba: 0653-61-57-29 au...
  4. Y

    Kiswahili kwa maendeleo yetu

    Najivunia sana kusoma somo la Kiswahili katika ngazi ya elimu ya juu, tunakidharau Kiswahili lakini kiukweli hatukijui. Kama wewe unakijua vizuri Kiswahili naomba unijibu swali hili dogo, mobile phone inaitwaje kwa Kiswahili halisi?
  5. Y

    Nisome nini master degree, naomba ushauri

    jamani nisaidieni hii sentensi iko sahihi?"what makes people"
  6. Y

    Nisome nini master degree, naomba ushauri

    labda niseme kitu kuhusiana na lugha ya English as far as applied linguistics is concerned.tatizo as watanzania tunapenda kukosoa wenzetu lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa sana ya watz hawajui English both written and oral,first ,judge yourself before judging your colligue.
  7. Y

    Msaada: Uandaaji research proposal

    Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu, tatizo langu ni jinsi ya kuandika research gap katika literature review. Je! naandikaje?
  8. Y

    Nisome nini master degree, naomba ushauri

    where have I mistaken so as to modify
  9. Y

    Nisome nini master degree, naomba ushauri

    First of all I would thanks to god up to where am, second for those who have been blessed to pursue masters programs may you get me your assistance that am a last year student pursuing bachelor degree of arts. Now I have thoughts to go on with master degree but problem is which program should I...
  10. Y

    Lets change

    its normal we educated people especially we Tanzanian to discuss issues such as comparing universities among ourselves as if the title of our universities matter in academic judgement, my self am a university student approaching to graduate but this issue introduced before huts as some of us...
  11. Y

    Vyuo Vikuu Tanzania vyaanguka

    udsm ilichemka mapema sana CHUO kilichoongoza kwa Tanzania kilikuwa university of IRINGA formerly TUMAINI university at IRINGA,ruaha university then Zanzibar,kaka usiangalie Nina LA CHUO matters academic exellence
  12. Y

    Natafuta shule ya msingi ya bording

    shule nzuri IPO vikindu wilaya ya MKURANGA mkoa pwani ada ni 1600000 au zaidi inaitwa in jazar primary school
  13. Y

    St. John University kuna mgomo

    welcome university of IRINGA the home of intelligence
  14. Y

    Mkopo kwa continuous Mzumbe Mbeya Campus

    sisi huku university of IRINGA tunakaribia kusaini PESA ya awamu ya pili
Back
Top Bottom