Recent content by xyzmtanzania_halisi

  1. X

    JamiiForums Tanzania TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

    Kwa mantiki hiyo nnakubaliana na wewe kabisa..technically huwezi pitisha traffic ya TTCL kwenye network ya Vodacom unless Vodacom awe anaalow transit through internet exchange kitu ambacho ni ndoto.... Ninachoamini ni kuwa IP zinazotakiwa ni zile tuu zilizopewa ISP wa Tanzania....kani hawa ndio...
  2. X

    JamiiForums Tanzania TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

    Mzee umeandika vitu vingi ambavyo si sahihi... 1:TCRA hawawezi sema wablock IP zote ambazo sio za Tanzania, hi ni kwa sababu ukifanya hivyo unataka kusema kuwa services toka nje ya Tanzania kama vile cnn.com, bbc.com etc zisipatikane Tanzania,sidhani kama TCRA wanaweza fikiria hivyo. 2:TCRA does...
  3. X

    JamiiForums Tanzania TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

    mkuu umeingia chaka....jaribu kuangalia sheria inataka uwasilishe nini...DNS kama distributed database ina domains zote in public...so sidhani kama TCRA ni wajinga kutaka taarifa ambazo ni public...nnachojua baada ya kufanya kazi katika ISP kwa miaka kadhaa ni kuwa TCRA inataka assignments za IP...
Back
Top Bottom