Mimi nadhani sasa niwakati wa wananchi kutambua nini maana ya maendeleo katika nchi na mtu mmoja mmoja kwa ujumla, pia kwa kulitambua hilo ni hakikaka wanaweza kuangalia chama tawala kimetekeleza mangapi pamoja na kukopa ilani kutoka vyama pinzani yani inamaanisha wamejitwisha mizigo mingine...
hili swala la serekari tatu mi nadhani tunaongeza gharama katika uendeshaji wa taifa kwa ujumla, kwa kuangalia kutakua na misafara mingi, bajeti ya kampeni kubwa, bajeti ya pesa kwajiri ya kuendesha hizo sericari tatu. kikubwa ni kuborasha yaliopo na kuangalia mapungufu tu ya katiba mama
Mimi nadhani kuna haja ya wanachama wa EAC kukaa chini na kuangalia Chanzo cha tatizo na kulitatua, na si kuachia Wahusika wa tukio kwasababu kuna raia ambao wananyanyasika pasipo sababu za msingi, kwani hawahusiki na hayo matukio wala marumbano, na niwazi kwamba kwa sasa tumechangamana sana...
Nadhani umefika wakati sisi kama watanzania tujitazame kwa jicho la tatu namaana tuangalie mambo yanayosumbua nchi yetu ili kuboresha amani Tanzania, Haiwezekani tunashughulikia matukio ya nchi nyingine wakati ya ndani hatujayatatua," KAMA UMESHINDWA KUIONGOZA FAMILIA YA MKE, WATOTO, kAMWE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.