Habari wana jukwaa.....
Naomba nichukue nafasi hii kumsihi kila mtu kwa dini yake kwamba uh cyo uzi uliyolenga kuleta mjadala wa kidini kwamba ipi n bora au ipi cyo bora .
Nimelenga kusikia mtazamo wako kutokana na uwalisia uliopo tangu dini kuanzishwa apa duniani. cna ufaham mkubwa kuhus...
Sasa mbona mimi simioni au ww ushawai kumuona kapakanyaga apo mahar palipo inuka, ivi unaweza kuishi na wanao nyumba moja na kujificha ndani ya nyumba iyo iyo?
Iv ishawah kukutokea ukiwa unataka kulala kunasauti znakuj na kuondoka kama minongo'no af uwezi kuelew vinavyo zungumzwa au sura za watu au za mahar ulipoenda kweny mzunguko yak yakila cku ndugu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.