Recent content by X_Killer

  1. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    Kwanini uwe single wakati Muenyezi Mungu alikuwa na Kila sababu ya Kuumba Viimbe Pairs??
  2. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    Waite Waite waje.
  3. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    😂😂😂 Tafsiri ya Mapenzi hayana umri, Rangi, Kabila, wala Cheo.
  4. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    😂😂😂😂😂
  5. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    Ndio maana Wasomi walio Elimika wanaanini kwenye Maandishi... Ndiyo yanaishi milele.
  6. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    Picha ya Nini Tena Maelezo ni zaidi ya Picha...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    SIFA ZANGU -Mwanaume Mrefu Fut 5.6, -Mweupe, Macho ya Brown, -Mfanya Biashara Tanga Mjini, - Nipo ( SINGLE ). SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE -Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa, - Dini yoyote, -Awe Tanga / Mkoa mwingine, -Awe tarari kuanza Mahusiano mapya, -Awe na upendo wa dhati. Kwa aliye tayari naomba...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    Upo sahihi mkuu ila kwa Level ZANGU sitaki kupoteza Muda kuanza kumbeleza Mwanamke... Maisha yamebadilika ... Kama una dada Yako aliye tayari kutulia sehemu moja mpe Connection ZANGU na nakuahidi ( Nitakuwa shemeji yako Mzuri sana) 😘
  9. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    Mkuu sio kitongoza Kila mwanamke Nimeisha vuka izo Level na waachia nyinyi Vijana ambao damu bado inachemka.
  10. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

    Kwani unaenda kulala na kazi ya uyo Mwanaume mbona wewe haujasema kama una kazi au Biashara yoyote?.
  11. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari za kwako Dada Mimi ndio yule Mwanaume ulio kuwa unanitafuta Sasa kabla sijaja pm nakuomba unitumie Wasifu wako ulio jitosheleza Ili na Mimi nifanye maamuzi.
  12. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika Tanga

    SIFA ZANGU Mwanaume mrefu Fut 5.6, Mweupe, Macho ya Brown, Mfanya Biashara Tanga Mjini, Nipo ( SINGLE ). SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE. Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa, Dini yoyote, Awe Tanga / Mkoa mwingine, Awe tarari kuanza Mahusiano mapya, Awe na upendo wa dhati. Kwa aliye tayari naomba Ani...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ndio lengo la jamii jf ilo kuleta matukio na mawazo yanayotokea ndani ya jamii.
  14. X

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sawa mkuu Asante kwa malekebisho yako Ila sio wote tumesoma wengine hatujasoma
  15. X

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mhuuu maaana hakuna mwenye uhakika Kati ya yeye ama Mimi nani ni jini hapo.
Back
Top Bottom