Recent content by X - Mwl.

  1. X

    Sitta na mikakati ya kuindoa ccm madarakani & uroho wa vyeo chini ya kimvuli cha uzalendo

    Habari wanaJF! Mwaka 2008/2009, Mh.6 akiwa bado spika wa bunge la JMT aliasisi chama kipya cha CCJ ili kishiriki uchaguzi wa 2010 kwa lengo la kuindoa CCM madarakani kwa kile kilichoonekana viongozi wengi wa chama hicho ni mafisadi na hawana nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi kutoka kwenye...
  2. X

    Kangi Lugora, Deo Filikunjombe na Ester Bulaya ni nyota zing'aazo CCM

    Kangi Lugora (nati ya kirumi) anaipenda sana nchi yake. Wengine wanapenda sana vyama vyao. Mwenyezi Mungu amwepushie maadui wanaoiwinda roho yake
  3. X

    Demokrasia na mlango wa kuwashinda wengi.

    Ndugu yangu Njano5, 'KWELI' iliyowazi na yenye manufaa mapana kwa jamii itaheshimika na hata kupata ushindi. Lakini, kama itakuwa kizani na inatafutwa kiujanjaujanja na kwa lengo la kuhatarisha jamii, nami nasema iache 'HAKI' ionekane kutawala. Ni bora kuwa na HAKI inayoonekana mbele ya jamii...
  4. X

    Nchemba Kupata aibu kesho Musoma Mjini

    CAG alisema serikali iko hoi, waziri wa hazina naye kathibitisha, sa kwanini jamaa asitulie ofisini na wenzake waone namna ya kuondoa ukata huo.
Back
Top Bottom