Waungwana huyu mtu kasoma india, huko hata ukitoka hapa na division iv unagonga bachelor kama kawaida bila hata kusoma certificate au diploma. mm sishangai kabisa kupata majibu ya kijinga kama hayo kutoka kwa graduate wa India
Kama umesomesomeshwa kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu kodi yetu imepotea bila sababu, tunaongelea mabadiliko lakini ndani yake tuna watu wa aina yako, unalipa kodi halafu unaomba ujengewe barabara? hyo ni lazima wafanye hutakiwi kuomba wala kupongeza wakati barabara inapokuwa imejengwa...
Hana lolote huyo, huyo ni mnafiki. Kwa nn hajawataja hao mafisadi ambao alisema anawajua. nawatahadharisha watanzania tutakuwa tumepotea tukimchagua huyu mnafiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.