wapendwa nimatumaini yangu, niwazima wa afya.
Naomba msaada kwa wanyeji wamikoa ya Iringa na mbeya.
kuhusu viwanda vilivyo hai hadi sasa.
itanisaidia katika utafiti wangu ninaoufanya kwa sasa. naombeni sana msaada wenu.
Natanguliz shukrani.
ningependa tuweke record sawa, ili kujua viwanda vipi vilikuepo na vipi vimeongezeka.
Tukiacha dar es salaam napenda kujua ivi mbeya, Iringa na morogoro kuna viwanda vyovyote vikubwa?
weka hapa list viwanda mkoani wako. tuchukue record
Kijana focus kujiajiri baada ya hapo, ushauri fuatilia sana mambo ya android development ,IOS development ukiwa bigwa uko,hutokufa njaa. Soko la mobile App nikubwa na unaeza fanya mwenyewe, sio lazima darasani hata private jifunze kwa bidii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.