Recent content by wss

  1. W

    Soko la majogoo wa kienyeji

    Nashukuru mkuu, Bei ya jumla (kuanzia majogoo 50) ni Tsh. 15,000/= kwa rejareja ni Tsh. 18,000/=. Mteja anafuata mzigo mwenyewe kimara. Maelezo zaidi tuwasiliane kwa email dconsolatha@gmail.com
  2. W

    Soko la majogoo wa kienyeji

    Habari Wakuu, Ninauza majogoo ya kienyeji kwa yoyote anayehitaji au anayefahamu mtu anayehitaji naomba tuwasiliane kwenye email dconsolatha@gmail.com Kila la kheri wakuu.
  3. W

    Hivi, ni kupenda au kutamani?

    Huko ni kujiendekeza tu, kwani kama ushapata mwenza ambaye mlikubaliana ni vyema kuweka tamaa nyuma na ku-define maisha yanayompendeza Mungu (yaani mke na mume mmoja) kwa Wakatoliki. Naimani kama huna kona kona (Girlfriend au Boyfriend) ni lazima utampenda na kumuheshimu mwenza wako, vivyo kwake...
Back
Top Bottom